Daily Archives: October 25, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE WATOA POLE KWA FAMILIA YA MMOJA WA WAASISI WA VYAMA VINGI NCHINI MAREHEMU MZEE JAMES MAPALALA OSTERBAY JIJINI DSM.OKTOBA 25,2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mwanasiasa Mkongwe na mmoja wa Waasisi wa Mfumo wa Vyama vingi nchini Marehemu James Mapalala Osterbay jijini Dar es salaam aliyefariki dunia Oktoba 23,2019 katika Hospital ya Kairuki jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akimsalimia Bi. Hannah Mapalala Mke wa Marehemu James Mapalala alipokwenda na Mkewe Mama Janeth Magufuli kutoa pole nyumbani kwa Mwanasiasa Mkongwe na mmoja wa Waasisi wa Mfumo wa Vyama vingi nchini Osterbay jijini Dar es salaam aliyefariki dunia Oktoba 23,2019 katika Hospital ya Kairuki jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakisali Sala maalumu ya kumuombea pamoja na Familia ya Mwanasiasa Mkongwe na mmoja wa Waasisi wa Mfumo wa Vyama vingi nchini Marehemu James Mapalala walipokwenda kutoa pole nyumbani kwake Osterbay jijini Dar es salaam. Marehemu James Mapalala alifariki dunia Oktoba 23,2019 katika Hospital ya Kairuki jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akimsalimia Benard James Mapalala (Mtoto wa Marehemu James Mapalala) alipokwenda na Mkewe Mama Janeth Magufuli kutoa pole nyumbani kwa Mwanasiasa Mkongwe na mmoja wa Waasisi wa Mfumo wa Vyama vingi nchini Osterbay jijini Dar es salaam, aliyefariki dunia Oktoba 23,2019 katika Hospital ya Kairuki jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na waombolezaji wengine walipokwenda kutoa pole kwa familia ya Marehemu James Mapalala ambaye ni Mwanasiasa Mkongwe na mmoja wa Waasisi wa Mfumo wa Vyama vingi nchini, nyumbani kwake Osterbay jijini Dar es salaam aliyefariki dunia Oktoba 23,2019 katika Hospital ya Kairuki jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.