Daily Archives: October 30, 2019

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKK MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM

 

 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kwenye ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ndogo za Chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam. Oktoba 30, 2019

 

 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM baada ya kikao kilichofanyika Ofisi ndogo za Chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam. Oktoba 30, 2019

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dkt. Ally mohamed Sheini Mara baada ya Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Ofisi ndogo za Chama Lumumba Jijini Dar es salaam. Oktoba 30, 2019 .