Daily Archives: November 22, 2019

RAIS DKT MAGUFULI AKABIDHI JENGO LA WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI KWA JESHI LA POLISI, KUWA MAKAO MAKUU YAKE

Jengo ambalo Rais Dkt John Pombe Magufuli amelikabidhi Jeshi la
Polisi kufanya Makao Mkuu yake jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019.  Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95 lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola
alipowasili Tayari kukabidhi kwa Jeshi la Polisi jengo kwa jail ya
Makao make yake jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali
jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95 lilikuwa
linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikabidhi fungi za jengo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.
Kangi Lugola na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro wakati
akikabidhi jengo hilo kuwa Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini
Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95 lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikilkiza Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro alipokuwa
akishukuru kwa kukabidhiwa jengo hilo litakalokuwa Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95 lilikuwa
linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola
akishukuru kwa kuwakabidhi   jengo la Makao makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95 lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea machache baada ya kukabidhi jengo kwa adili ya Makao makao Makuu ya Jeshi la polisi jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa maagizo kwa wakandarasi wa jengo ambalo amelikabidhi  kuwa
Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 95, hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola na
Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro pamoja na viongozi waandamizi
wa Kesho la polisi baada ya kukabidhi jengo hilo ambalo litakuwa
Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma Leo Ijumaa November 22, 2019. Awali jengo hilo lilikuwa linamilikiwa na Wizara ya Maji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Kamanda wa Polisi wa Dodoma Giles Muroto baada ya kukabidhi jengo la  Makao makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dodoma. November 22, 2019. Awali jengo hilo lilikuwa linamilikiwa na
Wizara ya Maji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikabidhi picha za jengo ambalo amelitoa kuwa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dodoma  kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro wakati wa sherehe  ya uwekaji jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Polisi eneo la Nzuguni . Novemba 22, 2019

RAIS DKT MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI KATIKA MIRADI YA HOSPOITALI YA UHURU, SOKO KUU, NYUMBA ZA POLISI NA STENDI KUU YA MABASI JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipata maelezo toka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe.
Selemani Jafo kuhusiana na Ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru
inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la
msingi leo. Ujenzi wa Hospitali hiyo umewezekana baada ya Rais
Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi Milioni 995.18 ambazo zilipangwa
kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenye ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai
akifunua pazia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali Kuu ya
Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la msingi leo Ujenzi wa Hospitali hiyo umewezekana baada ya Rais Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi Milioni 995.18 ambazo zilipangwa kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenye ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipekeana mikono na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugaio baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la msingi leo. Ujenzi wa Hospitali hiyo umewezekana baada ya Rais
Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi Milioni 995.18 ambazo zilipangwa
kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenye ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipekeana mikono na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Ally Mwalimu  baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la msingi leo. Ujenzi wa Hospitali hiyo umewezekana baada ya Rais Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi Milioni 995.18 ambazo zilipangwa kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenmye ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipata maelekezo ya maendeleo ya ujenzi kutoika kwa Mkuu wa JKT
Brigedia Jenerali Charles Mbuge  baada ya kuweka jiwe la msingi la
ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la msingi leo Ujenzi wa Hospitali hiyo
umewezekana baada ya Rais Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi
Milioni 995.18 ambazo zilipangwa kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenmye ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa maelekezo maelekezo kwa Mkuu wa JKT Brigedia Jenerali Charles Mbuge  na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Arch. Daud Kondoro baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Uhuru inayojengwa maeneo ya Chamwino jijini Dodoma alikoiwekea jiwa la msingi leo Ujenzi wa Hospitali hiyo umewezekana baada ya Rais Magufuli kuelekeza kiasi cha Shilingi Milioni 995.18 ambazo zilipangwa kutumika kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru mwaka jana zipelekwe kwenmye ujenzi wa hospitali hiyo ya kisasa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimsikiliza Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Mhe. Godwin Kunambi akitoa Maelezo kuhusiana na maendeleo ya Ujenzi wa Soko kuu la jiji la Dodoma ambalo litaitwa Soko Kuu la (Spika wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai eneo la Nzuguni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akifunua kitambaa kuweka jiwe la Msingi la  Ujenzi wa Soko kuu la jiji
la Dodoma ambalo litaitwa Soko Kuu la (Spika wa Jamhuri ya
Muungano Mhe. Job Ndugai eneo la Nzuguni

Muonekano wa  Soko Kuu la (Spika wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Job
Ndugai eneo la Nzuguni jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiondoka baada ya kuweka jiwe la Msingi la  Ujenzi wa Soko kuu la
jiji la Dodoma ambalo litaitwa Soko Kuu la (Spika wa Jamhuri ya
Muungano Mhe. Job Ndugai eneo la Nzuguni jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli
akipata Maelezo  ya maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijini Dodoma Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro akifunua pazia
kuashiria uwekaji wa  jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makaki ya
Askari Polisi eneo la Nzuguni jijin Dodoma Leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro baada ya
kweka  jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi
eneo la Nzuguni jijin Dodoma Leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola baada ya kweka  jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijin Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua moja ya Nyumba za makazi ya askari baada ya kweka  jiwe la
Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi eneo la Nzuguni
jijin Dodoma Leo. Pamoja naye ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Meja Jenerali Jacob Kingu na IGP Simon Sirro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli
baada ya kweka  jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za makazi ya Askari Polisi eneo la Nzuguni jijin Dodoma lor ametoa jengo la Kwa adili ya Makao Makuu ya na kukabidhi nyaraka za jengo hilo kwa  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola na IGP Simon Sirro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine akivuta utepe kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine wa mkoa wa Dodoma akitoka kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo hicho Kikuu cha Mabasi mkoani Dodoma ambapo ujenzi wake upo mbioni kukamilika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Dodoma kabla ya kuwahutubia katika eneo la wa Stendi Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma.

Sehemu ya Stendi Kuu ya Dodoma kama inavyoonekana pichani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Dodoma(hawaonekani pichani) ndani ya Kituo Kikuu cha Mabasi cha Dodoma mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Kituo hicho.