Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki Ibada ya Misa takatifu dominika ya 34 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Parokia ya Chamwino Ikulu Jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hii ni mara ya Kwanza kwa Rais na Familia yake kushiriki misa katika parokia hii toka ahamie rasmi Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa Ibada ya Misa takatifu dominika ya 34 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Parokia ya Chamwino Ikulu Jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hii ni mara ya Kwanza kwa Rais na Familia yake kushiriki misa katika parokia hii toka ahamie rasmi Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya Ibada ya Misa takatifu dominika ya 34 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Parokia ya Chamwino Ikulu Jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hii ni mara ya Kwanza kwa Rais na Familia yake kushiriki misa katika parokia hii toka ahamie rasmi Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko Laurent Felix Lello wa Parokia ya Chamwino Ikulu mara baada ya Ibada ya Misa takatifu dominika ya 34 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Parokia ya Chamwino Ikulu Jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hii ni mara ya Kwanza kwa Rais na Familia yake kushiriki misa katika parokia hii toka ahamie rasmi Jijini Dodoma