Monthly Archives: January 2020

RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI NA KUWAAPISHA MABALOZI WATEULE 4 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. JANUARI 14, 2020

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika kusini. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika kusini. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Namibia. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo ya Mhe. Balozi Dkt. Modestus Francis Kipilimba baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Namibia. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Prof. Emmanuel David Mwaluko Mbennah kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Mhe. Balozi Prof. Emmanuel David Mwaluko Mbennah mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mteule Dkt. Benson Alfred Bana kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshuhudia Mhe. Balozi Dkt. Benson Alfred Bana akitia sahihi hati ya kiapo mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mabalozi wapya wakila kiapo cha maadili kwa watumishi wa Umma mbele ya Kamshna wa Maadili Jaji Mstaafu Haroid Nsekela mara baada ya kuwa apisha kuwaikilisha Tanzania katika nchi walizopangiwa . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020

Mabalozi wapya wakila kiapo cha maadili kwa watumishi wa Umma mbele ya Kamshna wa Maadili Jaji Mstaafu Haroid Nsekela huku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) akishuhudia mara baada ya kuwa apisha kuwaikilisha Tanzania katika nchi walizopangiwa . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza baada ya kuwaapisha Mabalozi wapya wanne walioteuliwa kuwaikilisha Tanzania katika nchi mbalimbali walizopangiwa . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Mabalozi wapya wanne walioteuliwa kuwaikilisha Tanzania katika nchi mbalimbali walizopangiwa mara baada ya kuwaapisha Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wapya wanne walioteuliwa kuwaikilisha Tanzania katika nchi mbalimbali walizopangiwa mara baada ya kuwaapisha Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 14, 2020

 

 

 

RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA SHULE YA SEKONDARI MWANAKWEREKWE MJINI ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan na viongozi wengine wakipata maelezo juu ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar kabla ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan akimpongeza  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suliuhu Hassan na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma na Mwakilishi wa Benki ya Dunia akifunu pazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri ya
Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma wakati wa hafla ya uwekaji wa
jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni
mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolkojia wa Jamhuri
ya Muungano Profesa Joyce Ndalichako na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma wakipata picha na wanafunzi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe mjini Zanzibar baada ya kuweka jiwe la msingi la shule hiyo ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za Sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi.