Monthly Archives: February 2020

RAIS DKT MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA MSIKITI WA BAKWATA KINONDONI DAR ES SALAAM FEBRUARI 28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua makabati maalumu kwa ajili ya kuwekea viatu vya waumini wakati wa swala alipofanya ziara ya kustukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam Februari 28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki katika dua na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) alipofanya ziara ya kustukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es
salaam Februari  28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) akitembezwa kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita
wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam Februari 28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea machache na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamiz wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) baada ya kufanya ziara ya kustukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam Februari 28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) akitembezwa kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita
wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam Februari 28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) akitembezwa kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita
wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam Februari 28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) akitembezwa kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita
wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam Februari 28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) akitembezwa kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita
wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam Februari 28, 2020

Muonekano wa Msikiti ambao Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary
Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la
Waislamu Tanzania (BAKWATA) ametembelea na  kukagua maendeleo ya Ujenzi wa
Msikiti huo wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita
wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam leo Ijumaa  Februari 28, 2020

RAIS DKT. MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MADAKTARI KITAIFA MWAKA 2020 JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokeTuzo Maalumu aliyokabidhiwa na Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT) kwa kutambua mchango wake Mkubwa katika sekta ya Afya nchini toka kwa Rais wa Chama hicho Dkt. Elisha wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam  Februari 20, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia Tuzo Maalumu aliyokabidhiwa na Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT) kwa kutambua mchango wake mkubwa katika sekta ya afya nchini huku Naibu Waziri wa Afya Dkt. Faustine Ndugulile akishangilia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam Februari 20, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam  Februari 20, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Tuzo Maalumu Ofisa Tabibu Wilson Koweli Chota Mganga kutoka kijiji cha Uturo, Mbalali, Mbeya, katika kutambua mchango wake mkubwa katika tasnia ya afya
wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam  Februari 20, 2020. Wanaoshuhudia ni  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika, Naibu Waziri wa Afya Dkt Faustine Ndugulile, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt.
Zainabu , Mlezi wa Chama cha Madaktari (MAT) Profesa Lawrence Maseru na Rais wa MAT Dkt. Elisha Osati

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam  Februari 20, 2020