Daily Archives: February 2, 2020

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WAMESHIRIKI MISA TAKATIFU DOMINIKA YA 04 MWAKA “A” KATIKA KANISA KATOLIKI LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM. FEBUARI 02, 2020

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Febuari 02, 2020.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Febuari 02, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi na mkewe Janeth Magufuli ya kuwapongeza viongozi wapya wa halmashauri ya Walei ngazi ya parokia kwa kuchaguliwa wakati wa Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Febuari 02, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Dkt. Adelhelm Meru kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa halmashauri ya Walei ngazi ya parokia wakati wa Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Febuari 02, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli wakiwapongeza viongozi wapya wa halmashauri ya Walei ngazi ya parokia wakati wa Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Febuari 02, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko wa parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi na Mzee wa Kanisa Dkt. Adelhelm Meru mara baada ya ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Febuari 02, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli akiagana Mwenyekiti mpya wa halmishauri ya Walei ya parokia Dkt. Adelhelm Meru (katikati ni Paroko wa parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi mara baada ya ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Febuari 02, 2020.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na waumini mbalimbali mara baada ya ibada ya Misa Takatifu Dominika ya 04 ya Mwaka “A” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Dkt. Alister Makubi, Febuari 02, 2020.