Daily Archives: February 28, 2020

RAIS DKT MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA MSIKITI WA BAKWATA KINONDONI DAR ES SALAAM FEBRUARI 28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua makabati maalumu kwa ajili ya kuwekea viatu vya waumini wakati wa swala alipofanya ziara ya kustukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam Februari 28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki katika dua na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) alipofanya ziara ya kustukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es
salaam Februari  28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) akitembezwa kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita
wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam Februari 28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea machache na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamiz wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) baada ya kufanya ziara ya kustukiza kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam Februari 28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) akitembezwa kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita
wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam Februari 28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) akitembezwa kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita
wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam Februari 28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) akitembezwa kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita
wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam Februari 28, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) akitembezwa kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Msikiti wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita
wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam Februari 28, 2020

Muonekano wa Msikiti ambao Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary
Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la
Waislamu Tanzania (BAKWATA) ametembelea na  kukagua maendeleo ya Ujenzi wa
Msikiti huo wa Bakwata unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme Mohamed wa Sita
wa Morocco Kinondoni jijini Dar es salaam leo Ijumaa  Februari 28, 2020