Monthly Archives: April 2020

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA. CHATO MKOANI GEITA. APRILI 22, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto . Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.

Prof. Mabula Daudi Mchembe akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Prof. Mabula Daudi Mchembe mara baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto .Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhusu hali ya ugonjwa wa Corona nchini, ambapo kabla ya kikao hicho Mhe. Rais amemuapisha Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto .Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.

RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU KATIKA KANISA LA MTAKATIFU YOHANA- MARIA MZEYI PAROKIA YA MLIMANI CHATO MKOANI GEITA. APRIL 10, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana-Maria Mzeyi Parokia ya Mlimani Chato mkoani Geita tarehe 10/04/2020.

Padre Innocent Sanga akiongoza Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana-Maria Mzeyi Parokia ya Mlimani Chato mkoani Geita tarehe 10/04/2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana-Maria Mzeyi Parokia ya Mlimani Chato mkoani Geita  tarehe 10/04/2020 katika Ibada ya Ijumaa Kuu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Padre Innocent Sanga watatu kutoka kushoto mara baada ya Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana-Maria Mzeyi Parokia ya Mlimani Chato mkoani Geita tarehe 10/04/2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka Kanisani katika Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Yohana-Maria Mzeyi Parokia ya Mlimani Chato mkoani Geita  tarehe 10/04/2020