Daily Archives: May 20, 2020

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWASALIMIA WANANCHI WA NZEGA TABORA PAMOJA NA WANANCHI WA SINGIDA

Picha namba 1-5  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nzega mkoani Tabora (hawaonekani pichani) wakati akielekea mkoani Singida.

Picha namba 6. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwandri mara baada ya kuwasili Nzega Mkoani Tabora.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mkuu wa mkoa wa Singida  Dr.Rehema Nchimbi katika eneo la mataa mapya aliposimama kuwasalimia wana nchi akitokea Chato.

Picha namba 7-8. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Singida mjini (Kwenye Mataa) mara baada ya kuwasili wakati akitokea Nzega Mkoani Tabora. PICHA NA IKULU