Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi kufurahia Jambo wakati akizindua Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi akiwa na Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na
viongozi wengine eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma leo Jumatano Julai
22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akizindua Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi akiwa na Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na
viongozi wengine eneo la Ndejengwa mkoani Dodoma leo Jumatano Julai
22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakikagua Jengo la Ofisi za TAKUKURU wilaya ya Chamwino eneo la Chikuyu B Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020
Rais wa JamhuriMuungano wa Tanzania Dkt. John PombeM Magufuli akizindua Jengo la Taasisi ya kupambana na kuzuia Rushwa TAKUKURU, akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine eneo la Chikuyu B Jijini Dodoma leo Jumatano Julai 22, 2020