Monthly Archives: September 2020

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMPOKEA RAIS WA BURUNDI EVARISTE NDAYISHIMIYE MKOANI KIGOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye wakipokea heshima ya gwaride lillilo andaliwa ikiwa ni pamoja na nyimbo za Taifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye wakizindua jengo la Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma

MHE. RAIS YOWERI MUSEVENI WA JAMHURI YA UGANDA AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI NA KUPOKELEWA NA MWENYEJI WAKE MHE. RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI UWANJA WA NDEGE WA CHATO MKOA WA GEITA

  1. Mhe.Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo wametia saini mkataba wa mwisho wa utekelezaji wa ujenzi wa Bomba lakusafirishia mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda mpaka Tanzania hafla imefanyika Uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita .