Mhe.Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo wametia saini mkataba wa mwisho wa utekelezaji wa ujenzi wa Bomba lakusafirishia mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda mpaka Tanzania hafla imefanyika Uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita .