RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU UBUNGO FLYOVER JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wafungua jiwe la msingi la ujenzi wa standi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani na nchi jirani , eneo la Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam leo tarehe 08 Oktoba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera akipungia mkono wananchi walio jitokeza kushuhudia uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa standi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani na nchi jirani , eneo la Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam leo tarehe 08 Oktoba 2020.