Daily Archives: October 13, 2020

MHE RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ASHUHUDIA KUKABIDHIWA KWA GAWIO KUTOKA KAMPUNI YA TWIGA NA STAMICO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wageni waalikwa na wadau wa madini wakati wa hafla ya kupokea gawio toka kwa kampuni ya Madini ya TWIGA na Shirika la Madini la Taifa  (STAMICO)  katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam .

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio la Tsh. Bilioni Moja na Milioni Mia Moja toka kwaMwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) MejaJ Jenerali(Mstaafu) Michael Isamuhyo akishuhudiwa na Waziri wa Fedha naMipango Dkt. Philip Mpango, Msajili wa Hazina Bw. Athumani Mbuttuka na wajumbe wa bodi hiyo wakati wa hafla ya kupokea gawio toka kwa kampuni ya Madini ya TWIGA na Shirika la Madini la Taifa  STAMICO katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar essalaam Jumanne Oktoba 13, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio la dola milioni 40,000, 106,91 la Kampuni ya Madini ya TWIGA toka kwa Waziri  wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakishuhudiwa na  wajumbe wa bodi hiyo wakati wa hafla ya kupokea gawio toka kwa kampuni ya Madini ya TWIGA na Shirika la Madini la Taifa  STAMICO katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimatifa wa Julius Nyererejijini Dar es salaam .

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea tuzo maalumu toka kwa Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania(Femata), John Bina, na makamu wake wakati wa hafla ya kupokea gawio toka kwa kampuni ya Madini ya TWIGA