Daily Archives: October 27, 2020

MHE. RAIS MAGUFULI AHUTUBIA TAIFA KUPITIA WAZEE WA DODOMA NA KUTANGAZA RASMI KUWA KESHO TAREHE 28 OCTOBA NI SIKU YA MAPUMZIKO

Mhe. Rais  wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt  John Pombe Magufuli leo amehutubia  Taifa kupitia wazee wa mkoa wa Dodoma , na kutangaza rasmi kuwa kesho tarehe 28 octoba ni siku ya mapumziko, ili kutoa fursa kwa wa Tanzania kushiriki kikamilifu katika zoezi la kupiga kura za urais  na wabunge nchini,  Mhe.Rais amesisitiza umuhimu wa watanzania kudumisha Amani na mshikamano tulionao kwa kuepuka kuchagua viongozi walio nadi sera za kuwagawa wa Tanzaia , Mhe rais  amesema hayo leo ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete Dodoma  leo tarehe 27 octoba 2020.