Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maafisa na Askari wa Jeshi la Polisi baada ya kumaliza kukata utepe wa Uzinduzi Rasmi wa Majengo ya Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini jijini Dar es salaam.