Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na waumini katika Ibada ya Dominika ya Kwanza ya Kwaresima katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Februari 21, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akishiriki katika Ibada ya Dominika ya Kwanza ya Kwaresima
katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar
es salaam leo Jumapili Februari 21, 2021