RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA DUNIA BI. BELLA BIRD IKULU JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 7,2015.

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Bella Bird kuhusu masuala mbalimbali ambayo Benki ya Dunia imeisaidia Tanzania katika Miradi ya Maendeleo.

3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akifurahia jambo wakati akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi Bella Bird. Katika mazungumzo hayo Bi. Bella Bird amempongeza Rais Magufuli kwa hatua zake anazozichukua za kuongeza mapato, kubana matumizi na kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za kijamii.

DSC_2256

 

DSC_2259

Mazungumzo yakiendelea

4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akiagana na Bi. Bella Bird Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya mazungumzo.

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *