Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpokea na kumkaribisha Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 8, 2015
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 8, 2015
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza na kumuaga Balozi wa Malawi hapa nchini Mhe. Hawa Ndilowe baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 8, 2015
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimpokea na kumkaribisha Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 8, 2015
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea barua za salamu kutoka kwa Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 8, 2015
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimuaga Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 8, 2015 alipomtembelea Ikulu