Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimpokea Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 na kufanya naye Mazungumzo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipokutana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 na kufanya naye Mazungumzo
Picha ya pamoja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 baada ya Mazungumzo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 baada ya kufanya naye Mazungumzo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipokutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Tonia Kandiero Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 na kufanya naye mazungumzo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Tonia Kandiero Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 baada ya kufanya naye mazungumzo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Tonia Kandiero Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 baada ya kufanya naye mazungumzo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amekutana na Balozi wa Rwanda hapa Nchini Mhe. Eugene kayihura Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 na kufanya naye mazungumzo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Rwanda hapa Nchini Mhe. Eugene kayihura Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 21,2015 baada ya kufanya naye mazungumzo