Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 23, 2015
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 23, 2015
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana balozi wa Uswisi hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 23, 2015
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na balozi wa Uswisi hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Ikulu jijini Dar es salaam Disemba 23, 2015