RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 6,2016.

beab1326-cd04-4fcf-a212-1502bd986aea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam alipomtembelea January 6,2016.

12vfgggv

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam

2ccccbbe-7c8d-4f38-8305-cb4cedcd1942

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *