ZIARA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE MKOA WA MOROGORO – WILAYA YA MAHENGE AGOSTI 20,2014

mmefmel

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijaribu madawati mapya ya shule  ya msingi ya Epauko wilayani Mahenge baada ya shule hiyo kukabidhiwa msaada wa madawati 500 na Kampuni ya Kibaran Resources Ltd inayojishughulisha na uchimbaji wa madini aina ya Graphite na Nickel mkoani wa Morogoro Agosti 20, 2014.

9

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete  na mmoja wa wanafunzi wa shule ya msingi ya Epauko wilayani Mahenge baada ya shule hiyo kukabidhiwa msaada wa madawati 500 na Kampuni ya Kibaran Resources Ltd inayojishughulisha na uchimbaji wa madini aina ya Graphite na Nickel mkoani Morogoro Agosti 20, 2014.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *