ZIARA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE MKOA WA MOROGORO – WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI AGOSTI 21,2014

unnamed

Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 21, 2014
2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete pamoja na Wabunge Mhe Abdul Mketeme (kushoto) na Mhe Getrude Rwakatale (kulia) wakifunua pazia kwa pamoja kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 21, 2014,mm

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea  baada ya kufugua wodi mpya ya  kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 21, 20144

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa maeneo mbali mbali ya kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini baada ya kukifungua Agosti 21, 2014ZNZN

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wazazi baada ya kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 21, 20145

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa  kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 21, 2014

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *