RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AFUNGUA JENGO JIPYA LA CHAMA CHA KUWEKA NA KUKOPA (SACCOS) CHA KIJIJI CHA KINOLE, MOROGORO VIJIJINI AGOSTI 22, 2014

1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua jengo jipya la Chama cha Kuweka na Kukopa (SACCOS) cha kijiji cha Kinole, Morogoro vijijini Agosti 22, 2014

2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akikata  utepe  kuzindua jengo jipya la Chama cha Kuweka na Kukopa (SACCOS) cha kijiji cha Kinole, Morogoro vijijini Agosti 22, 2014. Wengine ni Mama Salma Kikwete (kulia),  Mbunge wa Viti Maalum Dkt Lucy Nkya (wa pili kulia) na Mwenyekiti wa SACCOS ya Kinole Mzee Issa Ramadhani Kambi

3

 Rais Kikwete akikagua jengo jipya la SACCOS ya Kinole baada ya kulizindua

4

 Rais Kikwete akiwa ameongozana na Chifu Kingalu na Mwenyekiti wa SACCOS ya Kinole Mzee Issa Ramadhani Kambi baada ya kuzindua jengo la chama hicho kijijini Kinole

5

 Rais Kikwete na Chifu Kingalu wakiwatuza wacheza ngoma vijana wa kijiji cha Kinole waliokuwa wakitoa burudani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014

7

 Rais Kikwete akimtambulisha Chifu Kingalu kwa Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014

8

 Mama Salma Kikwete akiongea na baadhi ya kinamama kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014

9

 Mbunge wa viti maalumu Dkt Lucy Nkya akiongea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014

10

 Umati wa wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014

11

 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera akitoa muhtasari na kukaribisha wasemaji kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014

12

 Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe Stephen Masele akielezea mikakati ya serikali ya kusambaza umeme vijijini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014

13

 Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wananchi na kueleza mikakati ya serikali katika kuendeleza na kuboresha miundombinu nchini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014

14

 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mbunge Mhe Innocent Kalogeris akiongea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014

15

 Rais Kikwete akiongea na mtoto Rebecca Mbena ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi ya Kinole wakati wa  mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014

16

  Mama Salma Kikwete  akiongea na mtoto Rebecca Mbena ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi ya Kinole wakati wa  mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014

17

  Mama Salma Kikwete  akiongea na mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi ya Kinole wakati wa  mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014

18

 Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Chifu Kingalu  Mama Salma Kikwete  akiongea na mtoto Rebecca Mbena ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi ya Kinole wakati wa  mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *