Viongozi wa dini wakimuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli baada ya kutua kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo Machi 29, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiburudishwa na ngoma za Utamaduni baada ya kutua kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo Machi 29, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na umati wa watu uliojitokeza kumlaki baada ya kutua kwa muda uwanja wa ndege wa Mwanza akiwa anaelekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita leo Machi 29, 2016