RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BARABARA YA JUU (FLYOVER) MAKUTANO YA BARABARA YA MADELA NA NYERERE APRIL 16,2016

 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Profesa Makame Mbarawa  alipowasili kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

   Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Dkt Norman Sigalla  alipowasili kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Naibu waziri wa  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani alipowasili kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na balozi wa japan nchini Mhe  Masaharu Yoshida alipowasili  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa kampuni ya SOMITOMO alipowasili  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea saluti toka kwa Afisa Mwandamizi wa Uhamiaji alipowasili  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema alipowasili  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala  Mhe Raymond Mushi  alipowasili  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Meya wa Temeke Mstahiki Abdallah Chaurembo alipowasili  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulika Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora  alipowasili  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale kabla ya  kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Mbunge wa Segerea  Mhe Bonna Kaluwa kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Msanii akicheza na nyoka

 Wimbo wa Taifa

 Baadhi ya wafanyakazi wa mradi huo

 Brass Band ya Polisi ikiongoza Wimbo wa Taifa

 Wanahabari kazini

Mkuu wa Mkoa wa Dar  es salaam Mhe Paul makonda akiongea wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale akisoma muhtasari wa Mradi kabla ya  kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Kaimu Mhariri Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali Bi. Tuma Abdallah na Timu yake walikuwepo. Makao Makuu ya shirika hilo lipo jirani na TAZARA

Sehemu ambapo mradi utapita

Mwanahabari akipiga picha sehemu ya maeneo ya Mradi

balozi wa Japan akiongea

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Dkt Norman Sigalla  akiongea wakati wa  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Meya wa Temeke Mstahiki Abdallah Chaurembo akisalimia wananchi kwenye hafla ya  kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Meya wa Manispaa ya Ilala, Charles Kwiyeko akisalimia wananchi

Naibu waziri wa  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani alipowasili kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Profesa Makame Mbarawa  akiongea wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia katika hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa TANROADS katika hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Balozi wa Japan Nchini Mhe Masaharu Yoshida akifungua pazia kuashiria  kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Balozi wa Japan Nchini Mhe Mashaharu Yoshida wakishangilia kuwekwa jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipena mikono na Balozi wa Japan Nchini Mhe Mashaharu Yoshida huku wakishangiliwa baada ya kuwekwa jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa na balozi wa japan nchini Mhe  Masaharu Yoshida wakifunua Taswira ya mandhari itakavyokuwa baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa na balozi wa japan nchini Mhe  Masaharu Yoshida wakifunua Taswira ya mandhari itakavyokuwa baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo ya namna mandhari itakavyokuwa kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa  mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukata  utepe kuashiria uzinduzi wa  mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja baada ya kukata  utepe kuashiria uzinduzi wa  mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na wazee wa Dar es salaam katika picha ya pamoja baada ya kukata  utepe kuashiria uzinduzi wa  mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akishangiliwa na wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara ya juu kwenye makutano ya barabara za Mandela na Nyerere maeneo ya Tazara Jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Aprili 16, 2016.

Click here to ReplyReply to all, or Forward

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *