RAIS KIKWETE ATEMBELEA SOKO LA NAFAKA LA KIMATAIFA LA KIBAIGWA, DODOMA AGOSTI 28, 2014

1

Hii ni sehemu ya Shehena kubwa sana ya mahindi iliyoletwa kutoka mashambani na kusafirishwa kila pembe ya nchi

2

alijionea shehena kubwa sana ya mahindi iliyoletwa kutoka mashambani na kusafirishwa kila pembe ya nchi

3 nmmlk

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea soko la nafaka la kimataifa la Kibaigwa mkoani Dodoma katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani humo Agosti 28, 2014 , ambapo alijionea shehena kubwa sana ya mahindi iliyoletwa kutoka mashambani na kusafirishwa kila pembe ya nchi. Mwaka huu, kama ilivyokuwa mwaka jana, mavuno ya mahindi yamekuwa makubwa kiasi hata cha kupatikana kwa mavuno ya ziada yanayolemea maghala yaliyopo, ikiwa ni muendelezo wa mafanikio ya sera ya kilimo kwanza ambayo imekuwa ikileta matokeo mazuri kila mwaka.

4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea soko la nafaka la kimataifa la Kibaigwa 

5

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyabiashara wa soko la kimataifa la Kibaigwa alipokwenda kutembelea soko hilo  katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani humo Agosti 28, 2014i

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *