RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI IKULU PIA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA UBALOZI WA JAMHURI YA KIARABU YA KIDEMOKRASIA YA SAHRAWI JUNE 06,2016

2

 

4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Kidemokrasia ya Sahrawi Brahim Salem Buseif kufatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya kidemokrasia ya Sahrawi Mohamed Abdelaziz.

3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Kidemokrasia ya Sahrawi kufuatia kifo cha Raisi wa nchi hiyo Mohamed Abdelaziz pembeni ni Balozi Brahim Salem Buseif Jamhuri ya Kiarabu ya kidemokrasia ya Sahrawi nchini Tanzania, June 6, 2016

5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Kidemokrasia ya Sahrawi Brahim Salem Buseif baada ya kusaaini kitabu cha maombolezo kufatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya kidemokrasia ya Sahrawi Mohamed Abdelaziz katika ubalozi huo uliopo mikocheni jijini Dar es salaam.

7

 

8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha pamoja na kuzungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa mambo ya nje wa Ubelgiji Didier Reynders Ikulu jijini Dar es Salaam.

9

 

11 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha pamoja na kuzungumza na Balozi wa Marekani hapa nchini Mark Childress Ikulu jijini Dar es Salaam.

12

 

13 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia hapa nchini anayemaliza muda wake Luigi Scotto Ikulu jijini Dar es Salaam Balozi huyo alikuja kumuaga  Rais

15Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Italia hapa nchini anayemaliza muda wake Luigi Scotto Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *