RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MPANGO WA KITAIFA WA KITUO CHA MAWASILIANO CHA JESHI LA POLISI (CALL CENTRE) JININI DAR ES SALAAM JUNE 25, 2916

23c445ef-4737-40b1-9cc4-390557729c2a

 

c6d949d7-1ad9-4b97-911d-529ebf2c6712Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe magufuli akikagua kituo cha mawasiliano ya polisi (Call centre) katika kituo cha Kati jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa Kitaifa wa Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi. .Pamoja naye ni Waziri wa mambo ya Ndani Mhe Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Ndani Meja Jenerali Projest  Rwegasira, IGP Ernest mangu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda na viongozi wengine wa sekta ya umma na binfasi.

0d249835-54f7-4efe-b19a-0b123eff9087Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisimama wakati wa wimbo wa Taifa wakati wa uzinduzi  wa Kitaifa wa Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi  katika viwanja vya Biafra jijini Dar es salaam Pamoja naye ni Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa mambo ya Ndani Mhe Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu kiongozi Mhe. John Kijazi,  IGP Ernest mangu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda na viongozi wengine wa sekta ya umma na binfasi.

fc51e586-1379-4017-a0e0-0f8184cd4239Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia  uzinduzi  wa Kitaifa wa Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi katika viwanja vya Biafra jijini Dar es salaam . 

438cced4-7c0e-4f2f-84cc-058a5b0090e9

 

656dc3e5-4da8-4a6b-b738-57e5d45644e1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizindua Kituo kidogo cha Polisi kinachohamishika wakati wa uuzinduzi wa Kitaifa wa Kituo cha Mawasiliano cha Jeshi la Polisi (Call Centre) katika viwanja vya Biafra jijini Dar es salaam.. Pamoja naye ni Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa mambo ya Ndani Mhe Mwigulu Nchemba, Katibu Mkuu kiongozi Mhe. John Kijazi,  IGP Ernest mangu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda June 25, 2016 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *