RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA BARAZA LA EID EL FITRI LILILOFANYIKA KITAIFA KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM JULY 6,2016

0d52e1ba-a778-4f0d-8c02-c66f88447a34 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikhe Aboubakar Zubeir wakati alipowasili katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya Baraza la Eid El fitri lililofanyika katika viwanja hivyo.

1b0abb18-4ba4-4eaa-affd-0ad22c2282f2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Sheikhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa Salum mara baada ya kuwasili.

0cea5eb4-5963-4c38-9a8e-3984e83b393b Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili.

8f38d204-288a-4637-98fe-7676811c263cRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya Baraza la Eid Elfitri.

5357b69c-9144-437f-bf9c-781f50a766f5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir pamoja na Waziri Mkuu Kassim majaliwa wakati walipokuwa wakisiliza ujumbe wa Kaswida katika baraza la Eid Elfitri.

c74eb283-cf53-492e-9c22-c1f87edd3213Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Baraza la Eid Elfitri

6f3df352-5d82-4fc4-835e-d3c2fc4d26f3 Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir akimshukuru Rais Dkt. Magufuli mara baada ya kuhutubia katika Baraza hilo.

0af35d02-f620-40b5-a8ab-302cd757067b Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika baraza la Eid Elfitri lililofanyika kitaifa jijini Dar es salaam Julay 06,2016

9a3c73be-0f5c-49ee-84ec-90a40da5070a

 

4055167f-0fd9-4832-a0ca-2761b2b3582b Waumini wa dini ya kiislamu wakifatilia kaswida iliyokuwa ikiimbwa katika viwanja hivyo vya Karimjee.

db037e65-e4a3-4062-8ce6-45b02f8266b2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir.

9a4657e1-849b-4d4d-a46e-adca01d11ef7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akaiomba dua pamoja na Mufti Mkuu Sheikhe Aboubakar Zubeir.

2d27acc5-ef79-4136-bc25-967338353aa8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu mara baada ya kumaliza kuhutubia katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam

086c6867-8613-4907-9009-ee06afbebfc3

 

fdb2311d-7f13-475f-a918-32d56aabc453Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu mara baada ya kumaliza kuhutubia katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *