RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA YAKE KATIKA WILAYA ZA IGUNGA NA NZEGA MKOANI TABORA JULAI 30,2016

1cnbcbn

 

2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya wakazi wa Igunga mkoani Tabora katika ziara yake ya kikazi katika Mkoa huo wa Tabora julai 30,2016

3

 

4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wakazi wa Igunga mkoani Tabora mara baada ya kuwahutubia Wilayani hapo.

5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Kijiji cha Nanga Wilaya ya Igunga Ndugu Masesa Kishiwa Makala kutoka Chadema wakati akiwa safarini kuelekea Nzega Mkoani Tabora.

7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Ziba Wilayani Igunga mkoani Tabora.

9 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na wabunge wa Mkoa wa Singida wakati akiwahutubia wakazi wa Misigiri Mkoani Singida wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Tabora.

10Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasalimia wakazi wa Misigiri Mkoani Singida

6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Kijiji cha Nanga Wilayani Igunga mkoani Tabora.

1mdgvdjhvdkb Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa Mji Nzenga Mkoani Tabora leo Julai 30,2016 Rais yupo Wilayani Nzega Tabora kwa ziara ya kikazi

2FBFBF

 

3KKM:MRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wakiwapungia wakazi wa Mji wa Nzega mara baada ya Rais kumaliza kuhutubia

5JBJKCXBSJXMke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasalimia wakazi wa Nzega mara baada ya kuwasili.

1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki Mkoani Tabora Mhashamu Paulo Ruzoka mara baada ya Kuwasili Nzega mkoani Tabora jana kwa ajili ya ziara ya kikazi.

2 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Tabora Al-Haji Ramadhani Rashid katika viwanja vya Stendi ya Nzega kabla ya kuhutubia mamia ya wakazi wa Nzega.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *