RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WA JIJI LA MWANZA KATIKA UWANJA WA FURAHISHA NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA LA WAENDA KWA MIGUU LA FURAHISHA JIJINI MWANZA AGOSTI 11,2016

unnamedRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza na maeneo ya kanda ya ziwa katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha eneo la Kirumba jijini Mwanza Agosti 11,2016

unnamed-1

 

unnamed-2maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza  wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia  katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha eneo la Kirumba jijini Mwanza Agosti 11,2016 

Wanachi wakishangilia wakati Rais Dkt. Magufuli alipokuwa akihutubia.
Mwanamuziki Christian Bella akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kutumbuiza katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani ,Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, Mke wa Rais, Mama Janeth Magufuli pamoja na Mbunge wa Ilemela Angelina Mabula wakiomba dua kabla ya kuhutubia maelfu wa wakazi wa jiji la Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani, Waziri wa Kilimo Mhandisi Charles Tizeba na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela wakiimba Wimbo wa Taifa kabla ya kuhutubia maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza

7hdgdgd Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John pombe magufuli akikata utepe kuweka jiwe kama ishara ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la waenda kwa miguu la furahisha jijini mwanza   wengine katika picha ni viongozi wa wizara ya Ujenzi na wa Mkoa wa Mwanza Agosti 11,2016

6

 

  5

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani, Mbunge wa Sumve Richard Ndassa wakipiga makofi mara baada ya tukio la uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Daraja la waenda kwa miguu la Furahisha pamoja na Upanuzi wa barabara ya Mwanza-airport.

 

2

 

3

 

4Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale akitoa maelezo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu ujenzi wa daraja la waenda kwa miguu litakalojengwa furahisha mjini mwanza kabla ya Rais kuweka jiwe la msingi la  ujenzi wa Daraja hilo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *