RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA STAT OIL YA NORWAY IKULU JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 22,2016

1Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya Mafuta ya Stat Oil ya Norway, Bw. Oystein Michelsen kabla ya kupokea taarifa ya maendeleo ya mradi mkubwa wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika gesi asili (LNG Plant) kinachotarajiwa kujengwa katika eneo la Likon’go, Mchinga Mkoani Lindi.

2 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Meneja Biashara wa Kampuni ya Stat Oil ya Norway Oivind Holm Karlsen (watatu) kutoka kushoto mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Kampuni hiyo, Bw. Oystein Michelsen

tumiaRais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo wakiawa pamoja na viongozi wa ngazi ya juu wa Shirika la mafuta Tanzania (TPDC) pamoja na viongozi wa kampuni ya Mafuta ya STAT OIL Ikulu jijini Dar es salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *