RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA ITALIA, KOREA, SOMALIA NA IRELAND IKULU JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 23,2016

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Italia hapa nchini Roberto Mengoni Ikulu jijini Dar es Salaam.

2Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Italia hapa nchini Roberto Mengoni mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam Agosti 23,2016

4jjjbjbjbRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Korea hapa nchini Kim Yong Su Ikulu jijini Dar es Salaam.

6

 

6. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Korea hapa nchini Kim Yong Su mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

7Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Somalia hapa nchini Mohammed Hassan Abdi mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho.

8Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Somalia hapa nchini Mohammed Hassan Abdi mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam

10.Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ireland hapa nchini Paul Sherlock Ikulu jijini Dar es Salaam.

11Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa Ireland hapa nchini Paul Sherlock mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

12. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Balozi wa Ireland hapa nchini Paul Sherlock mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam

13Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Balozi wa Ireland hapa nchini Paul Sherlock mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *