RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AHUDHURIA MISA YA JUBILEI YA DHAHABU YA NDOA YA RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA NA ANNA MKAPA AGOSTI 27,2016

1.a

 

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mhe Edward Lowassa wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016

2 Paroko  akisimamia ukumbusho wa ahadi za ndoa wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam l Agosti 27, 2016

3 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipokea hati maalumu ya ndoa toka kwa   ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo  wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam  Agosti 27, 2016

4 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akitoa shukurani  wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa yake na  na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam  Agosti 27, 2016

5cxfdfxfxRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akitoa salamu zake za pongezi  wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam  Agosti 27, 2016

6ewwgwh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja viongozi wa dini na viongozi wastaafu na wake zao  wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam Agosti 27, 2016

8 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja viongozi wa dini na viongozi wastaafu na wake zao na familia ya mhe Benjamin Mkapa wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam Agosti 27, 2016

9 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa  wakikata keki  katika hafla ya chakula cha mchana waliyoandaa baada ya Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa yao  katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam Agosti 27, 2016

10Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Waziri Mkuu wa zamani Mhe Edward Lowassa wakati wa hafla ya chakula cha mchana baada ya Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam  Agosti 27, 2016

Rais Dkt Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli, Mama Maria Nyerere, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na waumini na wageni waalikwa  wakiwa katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akimvisha pete Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akivishwa pete na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016

Rais Dkt Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli, Mama Maria Nyerere, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na waumini na wageni wakiendelea na misa

Mawaziri wakuu wastaafu walikuwepo. Kutoka kushoto ni Jaji Joseph Sinde Warioba na mkewe Evelyn Warioba. Mzee Cleopa Msuya, Mama Amne Salim na mumewe Dkt. Salim Ahmed Salim na Mhe Edward Lowasssa na mkewe mama Regina Lowassa

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipokea hati malumu ya ndoa kutoka Vatican kwa Baba Mtakatifu Papa Francis kutoka kwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipongezwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakionesha hati yao  maalumu kutoka  Vatican

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa na hati yao kutoka Vatican

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea 

Kila mtu anafurahia mafundisho ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipokea zawadi kutoka Paroko ya Upanga ya Mt. Imakulata 

Rais Dkt John Pombe Magufuli akifurahiajambo

Wote wanafurahia hotuba ya Rais Dkt John Pombe Magufuli 

Picha na viongozi wastaafu

Picha na viongozi wastaafu na walio kazini

Picha na watoto wa kutoka Kituo cha Kulea Watoto Yatima cha Kibaha (Kibaha The EOTF Orpham Centre) 

Rais Dkt. Magufuli na mkewa Mama Janeth Magufuli wakiwapongeza Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa 

Rais Dkt. Magufuli na mkewa Mama Janeth Magufuli wakiwapongeza Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa 

Rais Dkt. Magufuli na mkewa Mama Janeth Magufuli wakiwakabidhi zawadi Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa 

Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mhe. Edward Lowassa. Kushoto ni Mama Regina Lowassa

Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na  Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Bishop Eusebius Nzigilwa

Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipozi na viongozi wa dini. Kutoka kushoto ni Sheikh Alhad Mussa Salum, Shekhe wa mkoa wa Dar es salaam, Rais Magufuli, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Martin Shoo, Mama Janeth Shoo na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Bishop Eusebius Nzigilwa

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete  wakipozi na wajukuu wa Mzee Mkapa

Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea na Mama Maria Nyerere

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *