Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Waziri wa Ardhi Mhe John Lukuvi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul makonda, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Ali Hapi na viongozi wengine akitembelea eneo lililokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam Septemba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili eneo lililokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam Septemba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea taarifa ya wakazi wa magomeni kota iliyosomwa kwake na mchungaji John Raymond wakati Rais alipotembelea eneo lililokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam Septemba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiteta jambo na Waziri wa Ardhi Mhe John Lukuvi wakati Rais ali[powatembelea waliokuwa wakazi wa Magomeni Kota jijini Dar es salaam Septemba 6, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliokuwa wakazi wa magomeni kota alipotembelea na kuongea na wakaazi wa Magomeni Kota wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016
wananchi wakifurahia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli wakati akiwahutubia wananchi waliokuwa wakazi wa magomeni kota alipotembelea na kuongea na wakaazi wa Magomeni Kota wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016