RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MEYA WA ZAMANI WA DAR ES SALAAM DKT. DIDAS JOHN MASABURI OKTOBA 17,2016 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

12dedvcRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mkwe wake Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho katika mwili wa Marehemu Didas John Massaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam ulipoletwa mwili wake kwa ajili ya kuagwa kabla ya mazishi yake yatakayofanyika nyumbani kwake Chanika Dar es salaam Oktoba 17,2016

unnamed-1wake za marehemu na Sehemu ya wafiwa kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Massaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam Oktoba 17, 2016

mwishoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete na viongozi wengine wakiwa jukwaa kuu katika shughuli ya kutoa heshima za  mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Massaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam Oktoba 17, 2016

1.11Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea machache kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Massaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  Oktoba 17, 2016

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete walipofika kutoa heshima zao za mwisho katika mwili wa Marehemu Didas John Massaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam ulipoletwa mwili wake kwa ajili ya kuagwa kabla ya mazishi yake yatakayofanyika nyumbani kwake Chanika Dar es salaam Oktoba 17,2016 

2

 

3

 

4

 

 

5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas John Massaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam  Oktoba 17, 2016

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *