RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI WA RWANDA NA AMWAPISHA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA SEPTEMBER 09,2014

1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania Balozi Eugene Segore Kayihura  pichani  akiwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Kikwete September 09,20142

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda Balozi Ali Iddi Siwa katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. September 09,2014 Pichani akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam

 

 

RAIS KIKWETE AKUTANA NA KIONGOZI MKUU WA MABOHORA SEPTEMBER 09, 2014q2s2swsws

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na kiongozi Mkuu wa Mabohora His Holiness Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es Salaam September 09,2014

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *