RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA MARAIS WA NCHI MBILI ZA ZAMBIA NA CHAD JIJINI DAR ES SALAAM NOVEMBA 27,2016

1

 

2Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akipokea shada ya maua  mara  baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa  ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 27, 2016

1Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akisalimiana na mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali za Afrika nchini mara tu baada ya kupokewa na mwenyeji wake Rais Dkt John Pombe Magufuli katika uwanja wa  ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 27, 2016

unnamedRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimtambulisha Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu kwa Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe kassim Majaliwa baada ya kuwasili katika uwanja wa  ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Novemba 27, 2016

unnamed-1Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu akikagua gwaride rasmi mara tu baada ya kupokelewa na mwenyeji wake Rais Dkt John Magufuli katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Novemba 27, 2016

unnamed-3

 

unnamed-2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu wakisimama kwa ajili ya nyimbo za Taifa na mizinga 11 mara  baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa  ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Novemba 27, 2016

DSC_6825Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu   pamoja na mwenyeji wake wakifurahia ngoma za asili

unnamed-4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara  baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa  ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 27, 2016

33333Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno akipokea shada ya maua  mara  baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa  ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 27, 2016

unnamed-5 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimtambulisha  na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno kwa viongozi wa vikosi vya ulinzi na usalama mara  baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa  ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 27, 2016

1

 

2

 

4Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno pamoja na mwenyeji wake wakifurahia ngoma za asili

unnamed-7

 

unnamed-6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akimzwadia ki9nyago cha Kimakonve cha “Umoja” na picha ya kuchora ya tembo na Mlima Kilimanjaro  na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara  baada ya kiongozi huyo kuwasili  kwa mazungumzo Ikulu  jijini Dar es salaam Novemba 27, 2016

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *