RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA ZAMBIA EDGAR CHAGWA LUNGU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM NOVEMBA 28,2016

1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu wakipita katikati ya Gadi ya Mapokezi iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.

1-A Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu Ikulu jijini Dar es Salaam

2

 

 

5

 

6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo kwa furaha na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.

7 Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu akiangalia kikundi cha ngoma za asili cha Kimasai akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.

8 Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam

9 

 

10Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na Mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu Ikulu jijini Dar es Salaam.

11

 

 

11.. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 28,2016 Rais Edga Lungu yupo nchini kwa ziara ya siku tatu (Bofya blog kwa habari na picha).

12Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa Mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *