RAIS KIKWETE AWASILI WASHINGTON DC KWA MIKUTANO MBALIMBALI PAMOJA NA HAFLA YA USIKU WA JAKAYA SEPTEMBER 18, 2014

1

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa La Guardia jijini Washington DC tayari kwa kushiriki katika mikutano mbalimbali na pia katika hafla ya “USIKU WA JAKAYA”  leo jioni

2

 Rais Kikwete akilakiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani baada ya kuwasili hoteli aliyofikia

3

 Karibu Washington DC Mheshimiwa Rais

4

 Rais akiendelea kusalimia na wafanyakazi wa ubalozini5

 Mapokezi yakiendelea kwa Rais 6

 Rais Kikwete akisalimiana na Lucas Mkama wa Vijimambo Blog

7

 Rais akiendelea kusalimia na kupokelewa na wafanyakazi wa ubalozini

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *