RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI SITA WALIOPANGIWA VITUO VYAO VYA KAZI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 20,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Emanuel Nchimbi kuwa Balozi Nchini Brazili, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. James Msekela kuwa Balozi Geneva –Umoja wa Mataifa, Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mbelwa Kairuki kuwa Balozi nchini China, Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha George Madafa kuwa Balozi nchini Italia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Fatma Rajab kuwa balozi nchini Qatar, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Elizabeth Kiondo kuwa Balozi nchini Uturuki

Mabalozi wateule wakila kiapo cha Uadilifu mara baada ya kuapishwa na Rais Dkt. John Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.Januari 20,2017 Wakwanza kulia ni Balozi Emanuel Nchimbi, Balozi Dkt. James Msekela , Balozi Mbelwa Kairuki, Balozi George Madafa, Balozi Prof. Elizabeth Kiondo na Balozi Fatma Rajab

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na Mabalozi wateule mara baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mabalozi mbalimbali aliowaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *