RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA MWAKA MPYA WA KIMAHAKAMA JIJINI DAR ES SALAAM FEBRUARI 2,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea  na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma  wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam  February 2, 2017

Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akiongea jambo wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam February 2, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akipokea ripoti ya mahakama kuhusu kesi za uchaguzi kutoka kwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma  wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam  February 2, 2017.Kulia ni Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai

Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma  akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017 wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam February 2, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam  February 2, 2017

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akikabidhi kwa Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai  ripoti ya mahakama kuhusu kesi za uchaguzi wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam February 2, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na majaji wa Mahakama ya Rufaa na wa Mahakama kuu baada ya sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam  February 2, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiaga baada ya sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam  February 2, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na majaji wa Mahakama ya Rufaa na wa Mahakama kuu baada ya sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam  February 2, 2017

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza mwananchi, Bi. Sobha Mohamed, aliyejitokeza kueleza kero ya masuala ya mirathi  anazozipata katika mahakama mbele yake wakati wa sherehe za Kuzindua Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama Mtaa wa Chimala Ocean road jijini Dar es salaam February 2, 2017

Jaji Kiongozi Mhe Ferdinand Wambali akichukua maelezo ya mwananchi, Bi. Sobha Mohamed, aliyejitokeza kueleza kero ya masuala ya mirathi  anazozipata katika mahakama mbele yake wakati wa sherehe za Kuzindua Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama Mtaa wa Chimala Ocean road jijini Dar es salaam February 2, 2017

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *