RAIS WA JAMHURI YA MNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM MJINI DODOMA MARCH 11,2017

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

 

 

 

 

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao hicho cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mkoani Dodoma

 

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika foleni ya kuchukua chakula pamoja na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mkoani Dodoma

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *