RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MWENYEKITI WA CCM DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGA SEMINA YA WATENDAJI NA WENYEVITI WA WILAYA NA MIKOA MJINI DODOMA MARCH 14,2017

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya kufunga semina yao katika ukumbi wa White House mjini Dodoma Machi 14, 2017

 

 

 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa wakati wa kufunga semina yao katika ukumbi w White House mjini Dodoma Machi 14, 2017.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *