RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA UTENDAJI KAZI YA TAKUKURU April 11, 2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea toka kwa Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola Taarifa ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU ya mwaka 2015/2016 Ikulu jijini Dar es salaam April11, 2017 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola akitoa muhtasari wa Taarifa ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU ya mwaka 2015/2016 Ikulu jijini Dar es salaam April 11, 2017

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa  pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Valentino Mlowola na watendaji wa taasisi hiyo baada ya kukabidhiwa Taarifa ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwa mwaka 2015/2016 Ikulu jijini Dar es salaam April 11, 2017

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *