RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AAPISHA WAJUMBE WA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYOMO KWENYE MCHANGA KWENYE MAKONTENA SEHEMU MBALIMBALI YA NCHI KUTOKA MIGODINI APRLI 11,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Nehemiah Eliachim Osoro kuwa mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 11, 2017 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Longinus Kyaruzi Rutasitara kuwa mjube wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Aprili 11, 2017 

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt Oswald Joseph Mashindano  kuwa mjube wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Aprili 11, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Casmir Sumba Kyuki kuwa mjube wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Aprili 11, 2017 

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Usaje Benard Usubisye kuwa mjube wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017 

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Butamo Kasuka Philip kuwa mkube wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Aprili 11, 2017 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akiongea na wajumbe wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini baada ya kuwaapisha kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Aprili 11, 2017 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akisalimiana na Gabriel Pascal Malata na wana-Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Aprili 11, 2017 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Nadrew Wilson Massawe kuwa mjumbe Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam  Aprili 11, 2017 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *