RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AONDOKA MKOANI DODOMA NA KUELEKEA MKOANI KILIMANJARO APRIL 29,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma tayari kwa kuondoka na kuelekea mkoani Kilimanjaro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana wakati akielekea kwenye ndege tayari kwa safari yake ya kuelekea mkoani Kilimanjaro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai wakati wakati akielekea kwenye ndege tayari kwa safari ya kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai kabla ya kuondoka mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kabla ya kuondoka mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo nchini(TBA) Elius Mwakalinga kabla ya kuondoka mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Kilimanjaro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watendaji mbalimbali wa Serikali na Chama kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu mji wa Dodoma. Wakwanza kulia Katibu Mkuu wa Wizara wa Fedha Doto James, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa. Kikao hicho pia kiliwahusisha Viongozi wa CDA, Manispaa ya Dodoma pamoja na Spika wa Bunge Job Ndugai.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watendaji hao kabla ya kuondoka mjini Dodoma.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watendaji mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi(hawapo pichani) kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu mji wa Dodoma kabla ya kuondoka na kuelekea mkoani Kilimanjaro.

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *